LIL WAYNE ATANGAZA KU-SIGN DEAL NA JAY-Z

Ikiwa siku chache zimepita tangu kuachiwa kwa wimbo wa glory wa Lil wayne na kutangazwa kuwa unapatikana katika mtandao wa Tidal wa Jay-z hatimaye Lil Wayne atangaza kusign deal na Jay-Z.

lil-wayne-performs-glory-live-first-time-2015-power-house-jam-kansas

Siku ya jana akiwa katika show ya KMELSummer Jam Lil wayne alitangaza kusign deal na Jay-Z, deal ambayo watu wengi imewaacha njia panda kwa akuwa sasa Lil Wayne yuko mguu nje mguu nddani katika labey ya Cash Money hivyo mawazo ya watu wengi yanajiuliza ama kufikiria huenda amesign deal na Roc Nation Label ya Jay-z.

Lakini pia ikumbukwe Lil wayne wiki kadhaa zilizopita ameachia wimbo wa Glory kupitia mtandao wa Tidal wa Jay-Z so uenda pia alizungumzia deal hiyo kuwa nyimbo zake zinazofuatia zitapatikana katika mtandao wa Tida.

Tazama hapa Video ya Lil wayne akizungumzia hiyo deal!

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s