BEN POL ANUSURIKA KIFO, SAFARI YA MBUDYA YAGEUKA MAJANGA BOAT YAZAMA, MMOJA APOTEA.

Msanii wa kiazi Kipya mwenye hit song ya Sophia ben Pol anusurika kifo jumanne hii bada ya boat aliyokuwa akisafiria kutoka katika kisiwa cha mbudya kuzama majini.

11377401_1647205502180391_855495936_n

Ben Pol akiwa mbudya kabla ya kisa na mkasa huo.

Baada ya kuokolewa Ben Pol alitumia akaunti yake ya instagram kushare kile kilichotokea katika safari yake hiyo.

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s