HAWA NDIO MASTAA AMBAO KINGWENDU ANAWAKUBALI

Mkali wa kitambo kwenye sanaa ya vichekesho Kingwendu amepata nafasi ya kuongea na millardayo.com na kuongea mambo kadhaa ikiwemo mastaa wa Tanzania anaowakubali na sababu za kuwakubali.

???????????????????????????????

List ya wakali wake kaanza nayo kwenye muziki  wa Bongo Fleva ambapo amesema ‘Kwa muziki kwanza namtaka Diamond namkubali pia Alikiba namkubali pia Rich Mavoko halafu kuna huyu dogo amedrop sasa hivi Tid nilikuwa naye Burundi miezi 3 tunapiga nae kazi namkubali sana wa tano ni huyu dogo amechipukia hivi karibun anaitwa Dimpoz(Ommy Dimpoz)huyu mtoto nae mbaya sana’

Upande wa maigizo Kingwendu amesema ‘Upande wa movie nawakubali zaidi kwenye naanza na Mzee Majuto,halafu kuna Joti halafu kuna huyu Jb safi sana anajitahidi sana katika maisha halafu kuna dogo anaitwa Hemed ni Handsome Boy yule mtoto nae balaa hao niliokutajia nawakubali kwa sababu ni watu wa kazi hao’

MillardAyo.com

01.08.2015 –  Tags:  KINGWENDU
Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s