NEW VIDEO: LINAH- NO STRESS

Lina Sanga a.k.a Linah (Ndege Mnana) ameachia video yake ambayo ameipatia jina la No Stress, wimbo huo ambao audio yake imetengeneza na mtayarishaji Nash Designer, na Video yake kuongozwa na Godfather kutokea nchini Afrika ya Kusini.

Linah

Video hii inaweka idadi ya videos mbili za Linah ambazo amefanyia nchini Afrika ya kusini, ikitanguliwa na ile ya Ole Themba.

Waweza kuitazama hapa.

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s