PICHA, RAIS KIKWETE AKIAGANA NA WASANII WA FILAMU NA MUZIKI TANZANIA

Siku ya jana Rais wa Jamhuri wa muungano wa Tanzania aliitumia kuagana na wasanii wa nchini Tanzania kwa kipindi chote alichokuwa katika madaraka yake.

1

mbali na hapo raisi kikwete aliwathibitishia wasanii nchini Tanzania mustakabali mzuri katika kazi zao kwa kuwapa mirabaha pindi kazi zao zikiwa zinachezwa kwenye radio na television, “akina Beyoncé wale pamoja na umri wao mdogo, akina Chris Brown pamoja na uhuni na mpenzi wake Rihanna, pamoja na machachari yao yote lakini ni matajiri sana alisema.

MG_2184 MG_2194 MG_2201 MG_2221 MG_2234 MG_2238 MG_2241 MG_2244 MG_2275 MG_2408 MG_2425 MG_2474

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s