Latiffah Naseeb Abdul a.k.a Princess Tiffah ameendelea kuzoa umaarufu katika mitandao ya kijamii akiwa na umri wa siku moja tu.

diamond-na-Tiffah

picha ya kwanza katika akaunti yake ya Instagram ambayo alifunguliwa na @Princess_Tiffah ilikuwa ni picha ya Diamond (Baba yake) lakini akionekana mkono tu na ilikuwa na caption ikisema “My day couldn’t sleep last night, he was staring at me last night #MyFirstDayInTheStateHouse.

Mpaka sasa akaunti ya @Princess_tiffah inazaidi ya followers elfu 44.

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s