SARKODIE AELEZEA MISIMAMO YAKE YA DINI NA KUHUSU SHETANI NA MAISHA YAKE

Rapa Sarkodie amefunguka kuhusu jambo zima la imani na maisha yake kupitia mitandao yake ya kijamii.

SA

Sarkodie aliandika  ” Sisomi bible ila najua mwisho wa dunia patakuwa na wengi wenye dhambi nyingi, shetani anajaribu kupotosha watoto wa Mungu, ila kama tutaweza mpinga shetani na kumtegemea Mungu kwa kila jambo basi atatuokoa ”

Sarkodie anaendelea kuandika ” Hatuongea na watu wa ukweli, hatujui tutakufa lini, shetani anatumia njia ofauti kuteka roho yangu ” .

“I don’t normally read the Bible but I know that at the end time the world will be full of sin. The devil is trying to mislead the children of God. ‘But if we could also desist from evil and depend on God for everything, then He’ll save us. We do not wrestle against the flesh my lovely people, it’s very dangerous. We don’t know when we will die, if tomorrow or tonight. Satan is using different ways to take my souls from me (GOD)!!! Instagram Facebook Twitter music….everything!!!!”. ”

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s