DIAMOND AJIVUNIA DEAL YA MILLIONI 50 NA MTOTO WAKE KUVALISHWA NA DUKA MOJA.

Ikiwa bado Latifa Abdul a.k.a Princess Tiffah ambaye ni mtoto wa Diamond Platnumz anaendelea kuchukua headline katika mitandao ya kijamii pamoja na vyombo vingi vya habari, hapa ni headline nyingine inayomuhusu motto wa Dimonds kwa kupata deal ya ya milioni 50 na kuvalishwa na duka moja.

MG_2474

Akiongea katika hafla ya ya kumuaga muheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete rais wa jamhuri wa Muungano wa Tanzania katika ukumbi wa mlimani city, Diamond alisema “katika miaka hii 10 na mtoto nimepata, Mh motto amezaliwa leo (juzi) lakini amepata endorsement leo leo karibuni milioni 50 katika duka la kuwa anadhaminiwa kama motto anavalishwa na hilo duka sio maendeleo hayo jamani? alisema.

pia aliongeza kwa kuzungumzia Record iliyowekwa na mwnae “katika Africa ndio motto wa kwanza huyo aliyepata followers wengi afrika nzima anatokea Tanzania sio maendeleo hayo?”

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s