GAME YA SASA INAHITAJI PROMOTION YA NGUVU: MIKE TEE

Mike tee, Mnyalu Mwanamuziki toka nchini Tanzania aliewika sana katika game kuanzia miaka ya 2000 amesema kwa sasa gamei imebadilika kwa kiasi kikubwa kiasi ambacho inahitaji Promotion ya nguvu ili kuweza kukick katika game.

Mike_0

Mike amesema zamani Msanii alikua naweza kutoka Wimbo bila kutoa video na Akfanya vizuri lakini siku lazima msanii afanye wimbo mzuri na Video nzuri ili iweze kukubalika na wadau na ukiharibu tu kimoja wapo wimbo mzima umeharibika.

Akiongea na E News Mike tee amesema game ya sasa inahitaji zaidi kujitangaza kwa nguvu kushinda walivyokuwa wanafanya zamani hii kutokana na mabadiliko ya kimuziki yaliyopo sasa.

Chanzo: eatv.tv

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s