JAFFARAI UJIO WA KAZI MPYA UTAKUWA NA BAJETI KUBWA SANA.

Rapper kundoka familia ya kundi la Wateule Jaffarai amesema kazi yake ambayo inafuatia ambayo amefanya na Ommy Dimpoz itakuwa ni yenye bajeti kubwa.

Jaffarai

Kwa mujibu wa mtandao wa Bongo5 jaffarai amesema lengo la kuwekeza pesa nyingi katika kazi hiyo ni kutaka kupiga hatua nyingine mbele na kuona kazi zake zikichezwa katika vituo vikubwa vya habari vya nje ya nchi.

“Wakati imenionyesha njia lakini pia muziki umebadilika sana, sasa hivi kuna ngoma nimefanya na Ommy Dimpoz itabidi itoke na video kali. amesema.

“Wimbo bila video kali naona kama wimbo hautafika mbali hivi, mimi sitaki kutoa ngoma halafu iwe kawaida, kuna ngoma nimefanya na Ommy Dimpoz hiyo ndio kazi yangu mpya, inaitwa maridadi, amefanya man walter. Hii ngoma inahitaji bajeti kubwa sana kama nilivyosema, nataka ichezwe Trace TV na vituo vingine vikubwa, nadhani mpaka budget ikikamilika ndio nitajua naanzia wapi lakini soon mashabiki wangu watapata kitu kizuri.

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s