JAY MO: NJIA ZANGU NI KAMA NAS

Mwanamuziki wa Hip Hop wa siku nyingi nchini Tanzania Mo tecknick, Mo conshaz, Jay Mo amesema anavutika sana na Mwanamuziki wa Hip Hop toka nchi Marekani Nas Escobar ndio mtindo anaotumia kwenye Muziki wake.

nas_frobes

Jay Mo ambae ni mmoja wa waanzilishi wa Kundi la Wateule amesema kuwa Style anayotumia Nas ni ndio anayoifanya yeye na ndio maana siku zote anabaki kuwa mwenye heshima yake katika game ya Muziki nchini.

Amesema licha ya kuingia kwenye game hajambadilisha kabisa Nas na kumpelekea kwenye Biashara na yeye ndio anajaribu kufanya muziki wa aina hiyo bila kuweka saba mbele Biashara ila ni kwa kuwakilisha kile anachikiamini.

Chanzo: eatv.tv

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s