KUTANA NA ZAWADI AMBAYO TYGA AMEMPATIA MPENZI WAKE KYLE KATIKA SIKU YAKE YA KUZALIWA.

Rapa Tyga anazidi kuonyesha mapenzi ya ukweli kwa Kylie Jenner. Kwenye siku yake ya kuzaliwa akiwa amefikisha miaka 18 Tyga amempa zawadi ya gari aina ya Mercedes G-Wagen.

KYLE3

Gari hii inathamani ya dola $115,000 na tayari Kylie ameanza kuliendesha gari hilo. Kitu kingine alichofanya Tyga kuonyesha mapenzi ni kuchora tattoo ya jina la Kylie kwenye mkono wake.

Hii gari awali ilikuwa ya mama mtoto wa Tyga ambaye ni model Blac Chyna kabla halijabadilishwa rangi na kuwa nyekundu.

KYLE6 KYLE4 KYLE2 KYLE1 KYLE

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s