NEW VIDEO: ABDU KIBA FEAT. RUBY – AYAYA

Abdu kiba ndugu wa Ali Kiba siku ya ijumaa aliachia video yake kama official release katika kipindi cha FNL kinachoruka katika kituo cha EATV ambacho kinatangazwa na Sam Misago, na kuweza kupata Comments nyini kuwa hii ndio video yake ya kwanza ambayo ni kali.

thE4RHX055

miongoni walio mpa pongezi ni Msanii mweznie Hemedy PHD na kumuongezea kuwa alichokifanya ni kizuri kurekodiwa kwa video hiyo nyumbani nchini Tanzania.

Waweza kuitazama hapa.

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s