EDWARD LOWASSA ACHUKUA FOMU YA URAIS NEC LEO

Waziri Mkuu Mstaafu Mh. Edward Lowassa Leo anatarajiwa kuchukua fomu ya Urais katika tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC, kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, Chini ya Mwamvuli wa Umoja wa katiba ya Wananchi Ukawa.

LOWASSA

Kwa Mujibu wa Taarifa iliyotolewa na chama hicho Lowassa atachukua fomu saa tatu asubuhi huku skisindikizwa na viongozi mbalimbali wa vyama hivyo pamoja na Wanachama Msafara ukitarajiwa kuanzia ofisi za CUF, Buguruni.

Akizungumza jana Baada ya kutembelea Wanachama wa CUF, ofisini kwao Mh. Lowassa amewataka wanachama wa chama hicho kushikama na kuonyesha umoja ikiwa ni pamoja na kujitokeza kupiga kura ili waweze kupata ushindi wa Kishindo.

Wakizungumza katika Mkutano huo viongozi mbalimbali wa Umoja huo wamesema kuwa mshikamano ni jambo la umuhimu na kusema lengo lao la kukota chama tawala litatiamia endapo watashikama kwa dhati.

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s