WASANII WAKENYA WAANDAMANA!

Wasanii wa muziki nchini Kenya wamekuwa wakiandamana katika mitaa ya jiji la Nairobi, kutaka vituo vya redio na TV kupiga zaidi muziki wa wasanii wa nyumbani.

11870897_638252769645522_5128347622926998420_n

Wanataka aslimia 70 ya muda wa matangazo kuelekezwa kwa muziki wa wasanii kutoka Kenya. Kumekuwa na majaribio kadhaa ya kutaka iwepo sheria inayolazimisha vituo vya redio kufanya hivyo, lakini hatua hizo hazijazaa matunda.

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s