WEMA SEPETU NA NUH MZIWANDA MUVI BADO INAENDELEA!

Mastaa wa Bongo,Wema Sepetu na msanii wa bongo fleva,Nuh Mziwanda wameingia tena kwenye bifu baada ya kujibizana kupitia kwenye mtandao wa Instagram.

wema_sepetu543

Nuh amekuwa akimtuhumu Wema baada ya kuvujisha sauti aliyomrekodi kwenye simu akisikika msanii huyo akimtongoza mrembo huyo ambapo mpenzi wake Shilole aliipata na kuzua tafrani kwa wapeni hao hali ilisababisha kuachana na baadaye kupatanishwa.

upitia akaunti ya Instagram Nuh Mziwanda aliandika hivi:

Nakupa hongera kwa kufanikiwa kutoa amani katika mapenzi yangu mimi Na zuwena’maana hukua na nia njema wewe pamoja na team yako’na hata kama ingekua kweli ungemfata pembeni zuwena na kumweleza kua bwana ako anantongoza na sauti zake hizi hapa’lakini ukaona sio ishu na kuachia mitandaoni’mradi kuniaibisha mimi pamoja na na huyo unaesema unampenda sana na ni shoga yako’kingine Wema umetongozwa na wangapi hapa duniani kwann usiweke Voic note zao?

Yani moja kwa moja umetaka kusambalatisha mapenzi yetu na now naona mnaanza kutumana kumtongoza shishi’well madam nakupa salute zako’najua unaishi kwa amani na raha ‘ila huku umekiwasha mpka mtu unakua hauna amani ya moyo na ukizingatia sijawahi hata kukaa na ww tukapga stor wala kuona undani wa mwili wangu’kipindi una kampeni uling’ang’ania sana niingie kwenye group yako ya whatsup for supporting you’kumbe unanichekea kinafiki na ulikua na mabomu yako umeyapanga kuyalipua ‘sawa mama angu ila mimi nimetoa ya moyoni mwangu kwako na naamini ujumbe utakufikia mana nimeshindwa kukaa na duku duku’sisi wote binadam na hatuna garantee ya kuishi’salute kwako kwa ulichofanya

‘Naitwa Wema Sepetu na ntabaki kuwa Wema Sepetu… Iam Number One… Sina muda wa kubishana na watoto…Nina muda wa kufanya kazi na kwa sasa jicho langu limeelekea kwa Wanyaturu wangu Singida na kwenye siasa yangu pamoja na kazi zangu za maana bila kusahau entertainment niliokuwa ninayo from 2006 … Kumbe wakati mi nimelala nyie mnaandika Instagram… Ntapata dhambi kugombana na watoto wadogo-ambao nimewazidi sio pesa tu hadi dhambi pia nimewazidi…. Mstafute kick kupitia jina la Wema jamani… Jitume, amka, usibweteke, fanya kazi…. Umarioo mwisho Chalinze maana Dar wote tuna Hustle… Ama nene….’ Wema Sepetu

Cloudsfm.com

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s