FEZA KESSY NI ZAIDI YA KOMANDO

Staa wa muziki Feza Kessy, ameeleza kuwa mbali na muziki yeye anajishughulisha na ujasiriamali wa kuuza bidhaa mbalimbali, uigizaji, uandishi wa mashairi, pamoja na kazi kubwa ya malezi ya mwanae.

2_142

Staa huyo ambaye amezindua traki ambayo ni kolabo yake na Chegge ya ‘Sanuka’, siku ya juzi, ameweka wazi kuwa, ikifika wakati sahihi ataweka wazi biashara zake kwa upande wa uigizaji, sasa hivi kazi kubwa iliyopo mbele yake ikiwa ni kusukuma muziki wake mbele.

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s