MARVIN GAYE: SIJAISHITAKI FILAMU YA EMPIRE

Wakili wa mwana wa Marvin Gaye amekanusha madai kwamba anajiandaa kuwashtaki watengezaji wa filamu mpya nchini Marekani Empire.

150811121244_empire_640x360_bbc_nocredit

 tandao wa TMZ uliripoti kwamba Marvin Gaye wa tatu alitarajiwa kuchukua sheria dhidi ya Empire kwa madai kwamba ndiye aliyekuwa na wazo la filamu hiyo miaka mitano iliopita.

”Mteja wangu hajashtaki mtu yeyote kuhusu msururu wa filamu ya Empire,alisema Paul Phillips alipokuwa akizungumza na Rolling Stone.

”Kwa sasa hivi ,maslahi ya Marvin na juhudi zake zinalenga kesi ya Bluured Lines hadi itakapokamilika.Tutaizungumzia ripoti ya TMZ na swala la Empire katika wakati ufaao”.

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s