BACRAYS BANK WAZINDUA KADI MPYA ZA TEKNOHAMA

Benki ya Barclays imezindua kadi mpya za ATM ambazo zimewekewa katika mfumo mpya wa “Teknohama” ambao unawapa wateja wake usalama Zaidi wakati wanaofanya huduma zote za kibenki.

DSCN0996

Akizungumza na Habari zao leo jijini Dar es salaam mkurugenzi wa wateja binafsi wa benki hiyo Kumarun Pather wakati wa uzinduzi wa kadi hizo amesema wateja wao wenye akauni za dola zza kimarekani wataweza kutumia wataweza kutumia kadi hizo mpya  wakiwa ndani na nje ya nchi kupitia huduma ya VISA.

Pather amesema lengo la kuzindua kadi hizo pamoja na matumizi yake ni kurahisisha na kutoa punguzo la bei mtandaoni, kuraisisha malipo ya bidhaa na huduma katika maduka, hoteli pamoja na vituo vya mafuta kote nchini na duniani.

“Barclays inawasaidia wateja kunufaika kwa kuwapatia uzoefu na kuwasikiliza mahitaji yao pia benki inazingatia katika kuwapa wateja wake huduma timilifu za hali ya juu na kwa uzoefu wa hali ya juu.” Alisema

Written by #Dauka Somba

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s