HAKUNA MTU YEYOTE AMBAYE AMEGUNDULIKA NA EBOLA

Serikali ya jamhuri ya muungano wa Tanzania imesema mpaka hivi sasa hakuna mtu yeyote ambaye amegundulika na ugonjwa wa Ebola.

DSCN1024

Serikali ya jamuhuri ya Muungano wa Tanzania leo imesema mpaka hivi sasa hakuna mtu yeyote ambaye amegundulika kuwa na ugonjwa hatari wa Ebola, baada ya mtu mmoja kutoka katika kambi ya wakimbizi Nyarugusu mkoani Kigoma kufariki kutokana n dalili zilizohisiwa kuwa ni za ugonjwa huo.

Akiongea na waandishi habari katika ofisi za wizara ya afya na ustawi wa jamii katibu mkuu wa wizara hiyo Dr. Donan Mmbando huyo havijaonyesha majibu ya vipimo vya sampuli za mgonjwa havijaononyesha maambukizi yoyote ya virusi hivyo.

“Kwahiyo majibu yanaonyesha kuwa mgonjwa huyo hakuwa na Ebola wala jamii ya magonjwa hayo ama, Dengue, Chilungunya pamoja na homa ya Bonde la ufa” alisema Mmbando.

Dr. mmbando amesema sampuli hizo zitapelekwa katika maabara ya KEMRI iliyopo jijini Nairobi nchini Kenya kwaajili  kutokana na taratibu za upimaji magonjwa umewekwa na shirika la afya duniani.

written by #Dauka Somba

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s