MEEK MILL AFUTA DISS TRACK MTANDAONI AMBAYO ALIMDISS DRAKE “WANNA KNOW”

Wimbo wa Meek Mill “Wanna Know,” uliotajwa kuwa ni Diss kwa Drake umefutwa mtandaoni kutoka kwenye kurasa ya Dreamchasers Records SoundCloud baada ya kufikisha wasikilizaji milioni moja.

MEEK

Wimbo umefutwa kama ishara ya kuweka beef yake na Drake pembeni ili mambo mengine yaendele.

Sababu nyingine ni kuwa Meek hakuwa na haki ya kutumia wimbo wa mcheza mieleka Undertaker kutengenezea diss ya Drake, hana haki ya mdundo huo , kufuta wimbo huo ni kukwepa kufunguliwa mashtaka na Undertaker kwa kutumia wimbo wake wa kuingilia ulingoni.

Kwa upande mwingine wimbo wa Drake ambao ni diss kwa Meek Mil “Back to Back” imeshika namba 21 na “Charged Up” upo namba 78 billboard,

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s