RITA ORA APUUZIA BEEF YAKE NA A$AP ROCKY

Rita Ora yuko kwenye ziara na vyombo vya habari akitangaza wimbo wake mpya“Body On Me” aliofanya na Chris Brown lakini ndani ya dhiara hiyo amekumbana na maswali mengi likiwamo suala  kuhusu beef yake na Asap Rocky.

RITA ORA

Asap alimdiss kwenye wimbo wake wa ‘Better Things’ kwa kusema “I swear that bih Rita Ora got a big mouth / Next time I see her might curse the bih out ” “Kicked the bitch out once ’cause she bihed out / Spit my kids out, jizzed up all in her mouth / And made the bih bounce.”

Rita amesema “hajachukulia serious matusi hayo na ameamua kukaa kimya tu, hataki mashabiki wadhani kuwa ni sawa kuongea na mwanamke hivyo kwenye wimbo wako,ila me na raha zangu ” Rita alimpongeza Asap kwa album yake kuwa kali na kusema anajua mahali pakunifuata kana anataka kuomba msamaha.

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s