SERIKALI KUTOA ELIMU JUU YA SHERIA YA MITANDAONI.

Serikali imetoa semina ya uelimishaji wa viongozi kwa viongozi wa jeshi la polisi kuhusu sharia za makosa ya mtandao na miamala ya kielectroniki za mwaka 2015.

DSCN1101

akiongea na waandishi wa habari leo jijini dar es salaam waziri wa mawasiliano, sayansi na teknolojia prof. Makame Mbarawa amesema sharia hiyo itaanza kutumika septemba mosi mwaka huu ingawa kumekuwa na na tafsiri hasi kwa baadhi ya wananchi juu ya maudhui ya sharia hizo na kuzifanya zionekane kandamizi kitu ambacho ni tofauti na dhana sharia husika.

“Natambua ya kuwa miswada hii imepokelewa kwa hisia tofauti tofauti kutokana na uelewa mdogo kwa wengi wetu kuhusu sharia hizilakini tumegundua kwa kuangalia mazingira ya watanzania kwani hata Uganda na marekani wanatumia sharia hizi” Alisema Mbarawa.

Naye kamishina wa jeshi hilo anayeongoza polisi jamii Mussa Ali amesema sharia hizo zitaweza kuwasaidia katika kupambana na uhalifu wa aina mbalimbali.

Written By #Dauka Somba

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s