N’JIE WA CAMEROON ASAJILIWA NA TOTTENHAM

Klabu ya Tottenham imemsajili mshambuliaji wa Cameroon Clinton N’jie kutoka kilabu ya Ufaransa ya Lyon.

 150815115635_njie_640x360_bbc_nocredit

Mchezaji huyo wa miaka 22 ambaye ameandikisha kandarasi ya miaka mitano katika uwanja wa White Hart Lane hadi mwaka 2020,alisema;Niko tayari kuonyesha umahiri wangu ili kuisaidia kilabu hii kuafikia malengo yake.

N’jie aliifungia mabao 7 timu hiyo ya Ligi ya dara la kwanza msimu uliopita na pia ameifungia Cameroon mabao sita katika mechi 10 alizocheza.

Kuwasili kwake kunafuatia kuondoka kwa mshambuliaji wa Uhispania Roberto Soldado aliyehamia Villareal.
Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s