SAUTI SOL SISI NI MASHABIKI WAKUBWA WA ALI KIBA

Kundi la waimbaji kutoka Kenya wamenipa orodha kamili ya wasanii waliofanya nao collabo nchini Tanzania, wasanii hawa ni Ommy Dimpoz, Vanessa Mdee, Weusi na Ali Kiba. Sauti pia wameonyesha kuwa wao ni mashabiki wakubwa wa msanii Ali Kiba na kwamba wanajua na kuimba nyimbo zake zote haswa ‘Chekecha Cheketua”.

untitled

Sauti Sol pia wamethibitisha collabo mbili ambazo ni Sauti Sol ft Yemi Alade na Yemi Alade ft Sauti Sol.

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s