NAY WA MITEGO NA SHAMSA FORD WASITHIBITISHA UHUSIANO WAO

Msanii wa filamu nchini, Shamsa Ford amekiri kuwahi kutoka kimapenzi na Nay wa Mitego na baadaye wakaachana.

Nay-na-Shamsha

Shamsha na Nay wa Mitego walikuwa wakizungumza kwa pamoja ndani ya Global TV hivi karibuni. “Ukweli ni kwamba finally nilikuwa na mahusiano ya kimapenzi na Emanuel (Nay) lakini tumeachana,” alisema Shamsa.

Kwa upande wake Nay alisema uhusiano ulikuja baada ya kuwa marafiki.

“Tulikuwa washkaji, mahusiano yetu yalianza hivyo,” alisema rapper huyo.

“Tulienda Masaki baada ya kukaa mida fulani wakati wa kuondoka kusema kweli, kidogo nikaanza kuvutiwa na Shamsa Ford, katika kuagana nikaomba mimi nikamwambia mimi mwenzako matatizo yangu ni haya.

Bahati nzuri yeye pia hakuwa mzito, nahisi na yeye alikuwa amesoma kitu kwangu labda ambacho kilimvutia. Tuli-kiss na for the first time tulikuwa tumeonana siku hiyo na kwamba kila mtu alikuwa tayari kwa lolote litakalotokea. So tukaanza hivyo, kilichotufanya tuendelee kuwa connected ni lile kiss la siku ya kwanza,” aliongeza Nay.

Chanzo: Bongo5

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s