PICHA, ALI KIBA, NE-YO NA ICE PRINCE WALIVYOKUTANA

Star wa muziki Afrika kutoka katika Label ya 4000 rock star Alikiba jumatatu hii akiwa jijini Nairobi alikutana uso kwa uso na star wa muziki wa R&B duniani Ne-yo.

924676_873149446100081_1465182151_n

Alikiba alikutana na Ne-yo pamoja na mastar wengine wa afrika akiwemo Ice Prince Zamani kutoka Nigeria, Wangechi kutoka Kenya na Maurice Kirya kutoka nchini Uganda, katika msimu mpya wa Coke studio ambao unatarajiwa kuzinduliwa oktoba mwaka huu, sambamba na ilo Wasan hao watarekodi wimbo wa pamoja.

unnamed

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s