SOKO LA HISA JIJINI DAR ES SALAAM LA PANDA MARA 17

Soko la Hisa jijini Dar es salaam limepanda kwa Zaidi ya mara 17 huku baadhi ya makampuni yakipanda katika soko ilo na baadhi ya makampuni yakishuka katika soo hilo.

DSCN1188

Akizungumza na waandishi wa habari jana project manager Patrick Mususa alielezea namna ya soko hilo lilivyopanda Zaidi kwa wiki hii, ambapo alisema na kuyataja baadhi ya makampuni kupanda Zaidi katika soko hilo na huku baadhi ya makampuni kushuka Zaidi katika soko hilo, makapuni hayo yaliyopanda ni pamoja na TPPC, USL, TOL na makampuni ambayo yameshuka katika soko hilo ni pamoja na MKCB, DCB, na TTCL na makampuni ambayo yameuza kwa wingihisa zao ni TBL, CRDB, na NMB.

DSCN1187

Written BY Dauka Somba

 

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s