ZARI AJIBU TUHUMA ZA IVAN KUWA TIFFA SI MTOTO WA DIAMOND

Hatimaye Ze Boss lady zari amejibu tuhuma ambazo zimeendelea kuzagaa katika mitandao mbalimbali pamoja na vyombo kadhaa vya habari kuwa Tiffah mtoto ambaye amezaa na Diamond Platnumz ni wa Ivan mumewe wa zamani.

11820417_1141753252508599_62832565_n

Baada ya skendo hiyo kuzagaa na King Lawrence ambaye ni rafiki wa Ivan mumewe Zari wa zamani kumtaka Zari waende kupima vipimo vya vina saba (DNA) Zari aibuka na kudai kuwa hayo yanayofanywa na hao ni visasi na kudai kuwa visasi vinafanywa na vilaza.

kupitia akaunti yake ya mtandao wa Instagram zari aliandika “Visasi hufanywa na Vilaza” “BO$$LADY anafahamu huzuni aliyonayo mtu mwenye chuki wakati akiangalia furaha na mafanikio yake ni adhabu tosha. inabidi niyageuzie mgongo mambo yote ya kijinga yanayoendelea. naendelea kuwaua kwa sababu watu hutaka kuzima ta inayowaka Zaidi kwao.

Chanzo: bongo5.com

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s