PICHA, NDOA YA MENINAH LA DIVA AMBAYO ILIFUNGWA KIMYA KIMYA!

Weekend hii imefahamika kuwa msanii wa bongo fleva Menina ladiva amefunga ndoa kimya kimya. Baadhi ya picha alizoshare na mashabiki wake zilisambaza stori hii mpaka kaka yake ‘Atick’ alipothibitisha kuwa ni kweli dada yake kaolewa.

MENINA

Hii ni piha ya familia mpya ya msanii wa bongo fleva Meninah, Aliyekuwa Waziri wa nishati na madini Profesa Sospeter Muhongo sasa ni official Baba mke wa Meninah Atick.

Gazeti la Mtanzania limeripoti kuwa mapenzi ya Meninah yamepelekea kijana huyu kubadili dini na jina na kuwa AbdulKarim Haule ili aweze kumuoa Meninah ambaye ni Muislamu.

MENINA LADIVA MN MNI MNIA MNN MNNA

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s