FANS MI, IN MY BED, SHAKITI BOBO MARUFUKU VITUO VYA TV. NIGERIA

Nigeria imepiga marufuku nyimbo kadhaa kuoneshwa kwenye TV na kupigwa katika vituo vya redio. Agizo hilo limetolewa na tume ya udhibiti wa matangazo, Nigeria Broadcasting Commission.

11923258_641996905937775_1202809679698723791_n
NBC imesema- kupitia barua kwenda kwa vyombo vya habari kuwa nyimbo zilizopigwa marufuku zina “picha chafu, na kuonesha maisha ya majivuno na kifahari”
Baadhi ya nyimbo zilizoathirika na hatua hii ni pamoja na wimbo wa Wizkid- In My Bed, Fans Mi wa Davido, Shakiti Bobo wa Olamide na Inyanya, na Don Jazzy na wimbo Gift.

Salim Kikeke

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s