MENEJA WA FIVE STAR ATIMULIWA KAZI KISA ……

Meneja wa record lebel ya Five star nchini Nigeria ‘Soso Soberekon’ amefukuzwa kazi baada ya kumzushia kifo msanii wake ‘Skiibii’ ili kumtangaza zaidi Afrika na dunia nzima.

5st

Lebel hio imeomba msamaha kwa tabia hio mbaya iliyopotosha mashabiki wengi wa muziki kuwa msanii Skiibii alipoteza fahamu akiwa nyumbani kwake na kufariki ila dakika chache baada ya kupata huduma ya kwanza aliamka.

5s

Skiibii amesema amekuwa akipoteza fahamu na kuzimia mara kwa mara anapokuwa amechoka na akiwa na msongo wa mawazo ila kuhusu tarifa za kifo anamlaumu meneja wake.

Taarifa za kifo cha Skiibii zilisamba haraka sana sababu ikiwa ni kuchelewa kwa lebel hio kutoa taarifa kamili kuhusu tukio hilo na baada ya watu maarufu kama Davido kutoa pole.

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s