Mama yake Mayunga, Msanii Mayunga Nalimi amefiwa na Mama yake mzazi Zainabu Mdaki leo asubuhi huko Tabora,alidondoka ghafla baada ya kumaliza kuswali. Pole Kwa @mayungaa na Familia yake. Mayunga ameondoka leo Dar es salaam kuelekea Tabora kwaajili ya msiba wa Mama yake. RIP Na pole kwa Mayunga.

Mayunga my

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s