DAVIDO ATIMIZA NDOTO ZA KIJANA HUYU….

Msanii wa Nigeria Davido alisema july mwaka huu kuwa akifikisha followers milioni moja kwenye instagram atampa mtu Naira milioni moja.

DAV

August 12 2015 Davido alikuwa Mnigeria wa kwanza kwenye mtandao wa instagram kufikisha mashabiki naira milioni moja ambazo ni kama 10,745,565 za Tanzania na alichagua kumpa kijana Olajide Daniel Sanyaolu naira milioni moja kwaajili ya kulipia ada ya shule.

Olajide Daniel Sanyaolu alifungua account ya GoFundMe ili kuchangisha pesa za kwenda shule nzhini uigereza na alihitaji £24,700 na kabla hajapewa pesa na Davido alikuwa amefikisha £3,900.

DAVIDO

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s