SERIKALI NA SHIRIKA LA GLOBAL ALLIANCE FOR IMPROVED NUTRITION KUPAMBANA NA VIFO VYA WATOTO NCHINI

Serikali ya jamhuri ya muungano wa Tanzania na shirika linalohusika na masuala ya uruttubishaji wa chakula Global Alliance for Improved Nutrition imeandaa mikakati ya kukabiliana na tatizo la vifo na udumavu kwa watoto wenye umri chini ya miaka kumi na mitano.

DSCN1414

Akizungumza na waandishi wa habari jijini dar es salaam kaimu katibu mkuu wa wizara ya afya na ustawi wa jamii Michael John amesema moja ya mikakati hiyo ni kuweka virutubisho vya madini chuma,joto, zinki pamoja na folate katika bidhaa za viwandani.

DSCN1406

Kuhusu virutubish vitakavyowekwa katika bidhaa hizo John amesema serikali imeamua kufanya hivyo hasa kwa upande wa madini joto ambayo yanawekwa kwenye chumvi ili kila mtu aweze kunufaika na mkakati huo kutokana na matumizi ya bidhaa hiyo ambayo hutumiwa karibu na watu wote.

“Mfano madini joto ambayo yanayowekwa katika chumvi yanaweza kuwanufaisha watu wa aina zote kwasababu kiwango cha chumvi kinachotumiwa na tajiri na maskini  ni kile kile wala hakizidi alisema.

Written by Dauka Somba

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s