SERIKALI YASEMA IMEPATA MAFANIKIO YA SERA YA UKUZAJI VIUMBE KWENYE MAJI TOKA 2005-15

Serikali ya jamhuri wa muungano wa Tanzania imesema licha ya mafanikio ya miaka 10 ya sekta ya ukuzaji wa viumbe kwenye maji tangu mwaka 2005 hadi mwaka huu, bado kuna mahitaji makubwa ya samaki nchini kutokana na uzalishaji uliopo.

DSCN1267

akiongea na waandishi wa habari jijini dar es salaam mapema wiki hii mkurugenzi wa ukuzaji wa viumbe hai kwenye maji kutoka wizara ya maendeleo na mifugo ya uvuvi Dr. Charles mahika katika mabwawa ya kukuzia na kufugia samaki ya taasis binafsi ya Bigfish yaliyopo Kigamboni amesema uzalishaji huo ni wa tani 400,000 kwa mwaka ambao unasababisha upungufu wa tani 275,000 za mazao ya samaki.

DSCN1232

Dr. mahika amesema takwimu za sense ya taifa ya mwaka 2012 zinaonyesha kuwa idadi ya watanzania ni milioni 45 hivyo hivyo mahitaji ya samaki nchini ni tani 675,000 lakini kinacholiwa ni tani 360,000 na kupelekea upungufu wa tani 315,000.

DSCN1272

Pia Rais wa taasisi hiyo Abraham mndeme amesema kupitia mradi wake wanaweza kuchangia katika agenda ya kuwapelekea watanzania kwenye kipato cha kati pamoja na kutoa ajira na lishe kwa wananchi.

aidha mdeme aliongeza kwa kusema taifa linaweza kutokomeza uvuvi haramu endapo elimu stahiki ikitolewa kwa watanzania kwa kuwashirikisha wadau kutoka katika sekta binafsi kama ilivyo kwa upande wake pia vile vile wanafunzi.

Written by Dauka Somba.

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s