HEMED PHD KAZI NYINGINE NA MR. BLUE

Akiwa anafanya vyema na wimbo wake ‘Imebaki Story’ msanii wa muziki ambaye pia ni muigizaji nyota wa filamu wa nchini Tanzania Hemed PHD hivi sasa ameamua kumpa shavu msanii Mr Blue katika ngoma mpya inayosukwa hivi karibuni.

hemedi_suleiman_06

Hemedi ameongea na eNewz na kusema kuwa anamfagilia sana mkali huyo na hivi sasa atashiriki naye katika wimbo mpya unaoitwa ‘Someday’ ambao upo jikoni, huku akielezea zaidi mipango yake katika muziki kwa sasa kutokana na kujitegemea yeye binafsi katika kukuza kazi zake bila menejiment yeyote ile.

Mr%20Blue_0

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s