JB AZUNGUMZA BAADA YA KUTUPIWA MANENO NA BAADHI YA MASHABIKI

Kufuatia kitendo baadhi ya mashabiki kumshabulia kwa maneno makali staa wa Bongo Movies, JB kwa kuonyesha mapenzi yake kwa Chama cha Mapinduzi (CCM) kuelekea uchaguzi wa mwaka huu, JB amefunguka haya kwenye ukurasa wake mtandaoni kuwataka wabadilike kimtazamo.

JB987

Hakuna kitu muhimu kwenye maisha kama furaha….lakini furaha ina ambatana na kufanya mambo ambayo moyo wako unapenda bila kuvunja sheria.

Kuishi maisha ya kuogopa kitu unachopenda kwa sababu ya watu ni kuinyima furaha roho yako…watanzania wenzangu tuanze tabia ya kuheshimu maamuzi ya wenzetu.

Angalia hata kwenye mahusiano yetu watu wakiachana ni uhasama..kisa hatukubali kuwa mwenzako moyo wake uko kwingine.

Eti lazima akupende ww tu..haa…kwenye siasa ndio usiseme mtu akipenda upande mwingine ashakuwa adui.Aaah tubadilike…..sambaza upendo..+255 kwanza

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s