MOHAMEDI MWIKONGI “FRANK” AZUNGUMZIA SOKO LA FILAMU NCHINI

Msanii mahiri katika tasnia ya uigizaji, Mohammed Mwikongi ‘Frank’, amesema anapenda sana kufanya kazi ya uigizaji lakini soko la Tanzania linamkatisha tamaa ya kufanya kazi hiyo.

Frank-7

Frank alisema, amekuwa kimya kwasababu ya soko la uzambazaji kuharibiwa na baadhi ya wadau na wasambazaji wa filamu Tanzania.

Alisema mpaka sasa ameshaandaa muvi tano lakini anashidwa kuzitoa kutokana na kutoridhishwa na soko la uuzaji wa filamu .

“Kazi ya sanaa ndio kazi yangu ninayoitegemea kuendesha familia yangu, soko linapoharibika linatuathiri sisi waigizaji tunaotegemea kazi hiyo,” alisema Frank.

Chanzo: Spoti Starehe

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s