AUNT EZEKIEL APONDWA KISA “UKAWA”

Kama hujasikia ni kwamba, staa wa sinema za Kibongo, Aunt Ezekiel Grayson amejikuta akila za uso kutoka kwa mastaa wenzake mara tu baada ya kutangaza kuwa yeye ni Timu ya Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) akimuunga mkono mgombea wake wa urais, Edward Ngoyai Lowassa.

AUNTY990

Mastaa mbalimbali waliozungumza na Ijumaa Wikienda wakiongozwa na Wema Isaac Sepetu, walimponda na kumshangaa Aunt ambaye awali alikuwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) akimuunga mkono mgombea wake wa urais, Dk. John Pombe Magufuli ‘JM’.

“Yaani Aunt ametushangaza kwani alikuwa Team Magufuli. Ameonesha ni kiasi gani ni kigeugeu, sisi tunatarajia ushindi kwa asilimia kubwa. Sisi tumezaliwa na kukulia CCM hivyo hatuwezi kusaliti,” alisema Wema kwa niaba ya wenzake walipokuwa wakitangaza kuzindua kampeni za CCM zilizoanza jana. Jitihaza za kumpata Aunt hazikuzaa matunda.

Chanzo: GPL

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s