CHAMBER SQUAD KUFUFUKA: NOORAH

Noorah, staa mkongwe wa muziki wa Bongofleva amefufua matumaini ya kurejea kwa kundi la Chamber Squad, baada ya kutatua tatizo kubwa ambalo hakuwa tayari kuliweka wazi, lililokuwa likiwakwamisha.

11244496_884008974991701_1738917384_n

Noorah amesema kuwa hivi sasa wamekamilisha kazi tayari na kusubiri wakati sahihi kibiashara kuingia sokoni, pindi vuguvugu za kampeni zitakapokwisha.

Noorah ambaye ameihakikishia eNewz kuwa kwa sasa kiafya yupo fiti kabisa baada ya kuugua kipindi cha nyuma, mbali na kugusia ujio wa Chamber Squad, pia ameeleza juu ya kuendelea na msako wa wasimamizi watakaoratibu kazi zake katika ujio wake mpya.

Chanzo: eatv,tv

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s