KASEJA: HAKUNA TIMU NDOGO LIGI KUU

Mlinda mlango wa Timu ya Mbeya City Juma Kaseja amesema anajiamini atafanya vizuri katika timu hiyo mpya aliyosajiliwa kama atapata ushirikiano kutoka kwa wachezaji, benchi la ufundi na mashabiki.

kaseja

Akizungumza na East Africa Radio, Kaseja amesema kwa upande wake anaamini hakuna kazi itafanyika na hakuna timu ndogo katika ligi kuu kwani zote zinauwezo isipokuwa utufauti wake niwamajina na mashabiki hivyo hawezi kuidharau timu kwa jina wala uwezo wake.

Kaseja amesema kiwango chake kinafanya azidi kujiamini kwani mpira hauchezwi na mtu mmoja isipo kuwa ushirikiano na jitihada ndizo zitafanya timu ya Mbeya City kufika mbali Zaidi.

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s