PEDRO: NILIKATAA OMBI LA TIMU ZA MANCHENSTER

Mchezaji mpya wa Chelsea Pedro amefichua kwamba alikataa kujiunga na timu zote mbili za Manchester na badala yake kujiunga na Chelsea.

 150819125212_pedro_640x360_ap_nocredit

Winga huyo alifurahishwa na wazo la yeye kuhamia London baada ya kuamua kwamba angesalia Barcelona ili kuonekana katika picha.

Amesema kuwa alikataa ombi la kujiunga na timu hizo za Manchester huku akisema kuwa ushirikiano wa Jose Mourinho,Cess Fabregas na makao ya Stamford bridge ni baadhi ya vivutio vilivyomvutia.

Klabu ya Manchester United ilikuwa kifua mbele katika kutafuta saini ya Pedro lakini ni Chelsea ilioharakisha uhamisho huo huku Mourinho na Fabregas wakihusika pakubwa katika kumrai ,mchezaji huyo.
Chanzo: bbcswahili.com
Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s