SERIKALI ZA MITAA WAAMRIWA KUJIPANGA DHIDI YA KIPINDUPINDU.

Waziri wa afya na ustawi wa jamii Dkt. seif Rashid ametoa angalizo kuhusu ugonjwa wa kipindupindu pamoja na kuwataka maafisa afya kushirikiana na viongozi wa serikali za mitaa ili kukabiliana na ugonjwa huo.

DSCN2041

Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam jana, Dkt rashid amewataka viongozi kusimamia, hali ya usafi kila kaya siku zote ili kuimarisha hali hiyo.

“kwa sula hili la mlipuko wa kipindpindu ni la mtambuka napenda kuchukua nafasi hii kuziomba sekta nyingine kama maji, elimu, mawasiliano, uchukuzi na ujenzi tushirikiane kwa pamoja ili tutokomeze ugonjwa huu,” alisema

aidha aliongeza kwa kusema kuwa hadi sasa wagonjwa walioripotiwa katika jiji la dar es salaam ni 230 kutoka katika wilaya za temeke, ilala na kinondoni huku watu saba wakiripotiwa kufariki.

ugonjwa huo ulianza agosti 15 mwaka huu, ndani ya jiji ya Dar es salaam na kuathiri wilaya zote tatu na kwa upande wa mkoa wa morogoro uginjwa ulianza agosti 17 mwaka huu.

Written By Dauka Somba.

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s