WAUGUZI TANZANIA SASA KUFANYA KAZI NJE YA NCHI

Serikali ya jamhuri ya muungano wa Tanzania imedhamiria kuimarisha mifumo ya afya ncini hasa katika Nyanja za uuguzi na ukunga ili kukabiliana changamoto zilizopo katika nchi wanachama wa jumuiya ya Africa mashariki ambazo ni kenya, Uganda na Tanzania.

DSCN4866

akizungumza katika ufunguzi wa mkutano uliowakutanisha wadau ambao unajadili masuala ya uuguzi na ukunga katibu mkuu wa wizara ya Afya na ustawi wa jamii Donan Mmbando amesema uoanishaji katika mafunzo ya taaluma hiyo unafanyika ili kutoa fursa kwa wataalamu waliofuzu waweze kufanya kazi nchi yoyote ambayo ni mwanacahama wa jumuiya hiyo.

“Kinachofanyika sasa ni kuchukua mawazo ya pamoja ya watanzania na kuangalia kwamba tunasemaje kuhusu hilo huku tukiwa na Imani kwamba yatakapowasilishwaa kwenye ngazi ya mawaziri kwa kuridhiwa na yawe yamezingatia hali halisi ya nchi na changamoto za kimfumo za hutoaji huduma za afya nchini.” Alisema Mmbando.

Pia amesema serikali inabidi iangalie matatizo mengine ya afya kutokana na kuwepo kwa changamoto ya maradhi yasiyoambukiza kama shinikizo la damu, saratani na kisukari ambayo yamekua tatizo na kusababisha idadi kubwa ya Vifo.

Written By Dauka Somba

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s