AUGUST ALSINA AKANUSHA KUSHIRIKISHWA NA OCTOPIZZO KWENYE WIMBO WA “COULD BE US”

Uongozi ambao unamsimamia Msanii wa muziki wa RnB August Alsina umekanusha kuwepo kwa taarifa za kuwa wimbo wa Octopizzo “Could Be Us” kushirikishwa August.

august-alsina

Baada ya Octopizzo kuachia video siku ya juzi na kusema kuwa wimbo wa video huo ndani yake ameshirikishwa August uongozi umekanusha kupitia mtandao wa Twitter na August aliandika, ” KUTOKA KWENYE UONGOZI Wimbo wa Octopizzo Could Be Us haujamshirikisha August”

Baada ya  wimbo huo kuvuja nchini kenya na kwingineko watu waliweka mashaka juu ya kushirikishwa kwa August Alsina kwenye wimbo huo, lakini hali ilizidi kuwa mbaya Zaidi baada ya pale tu video ilipotoka na Uagust kutoonekana kwenye Video.

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s