MBALI NA OCTOPIZZO AFRIKA MASHARIKI INA WASANII WENGINE WAWILI WENYE ALBUM MTANDAO WA TIDAL NA WANATOKA TANZANIA.

Namba ama Octopizzo akiwa bado kwenye Headline nyingi ikiwamo yeye ni msanii pekee wa aliyekuwa na Album katika mtandao wa Tidal ambao unamilikiwa na Jay Z wasanii wengine kutoka Tanzania nao waibuka.

tidal-share

Erica Lulakwa ambaye anaishi nchini marekani na Rapa wakazi walitweet taarifa hiyo iliyotolewa na Octopizzo kuhusu kuwa yeye ni msanii pekee kutoka afrika ya mashariki ambaye ana album katika mtandao wa tidal.

Octopizzo awali ilidhaniwa kuwa yeye pekee ndiye mwenye album Tidal ambayo inaitwa LDPC “Long Distance Paper Chaser”

Chanzo: bongo5.com

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s