NUH MZIWANDA AELEZA UGUMU WA MAISHA KABLA KWENDA KUISHI KWA SHILOLE

Nuh mziwanda ameelezea kwa kifupi sana hali ya maisha yake nyakati za nyuma kabla ya  kuhamia kwa mpenzi wake shilole.

11856765_513869878768881_1503377325_n

Akizungumza katika kipindi cha hatua tatu ambacho huruka katiaka kituo cha Times FM Radio Nuh alielezea maisha yake ya awali yalikuwaje.

“Nilikuwa nalala studio, nashinda studio tu, zamani makazi yangu yalikuwa studio nilikuwa producer wa studio moja hivi Ilala so siku nilioenda kwa shilole nilienda na begi tu”. alisema

aidha Nuh aliongeza kusema kuwa maisha yake ya vituko na mpenzi wake ni maisha ambayo wameyachagua.

Chanzo: bongo5.com

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s