TANZANIA YAPOKEA MSAADA WA DAWA ZA KINGA YA KIPINDUPINDU

Serikali ya Jamuhuri wa muungano wa Tanzania imepokea msaada wa dawa za kukabiliana na tatizo la ugonjwa wa kipindupindu.

DSCN4939

Akipokea msaada huo kutoka katika shirika la afya ulimwenguni, WHO katibu mkuu wa wizara ya afya Donan Mmbando amesema msaada huo umegharimu millioni 42, 260,000 ambao pia una jumuisha dazeni 1000mza dawa ya waterguard zilizopakiti 2,400,000 pamoja na dawa nyingine.

DSCN4952

“Ugonjwa huu sio mara ya kwanza kutokea hapa nchini kwani umeshawahi kutokea tangu miaka ya 70 na 90 pia nasikitika kuona kwamba tumeshindwa kuudhibiti katika jiji la dar es salaam na sasa umeingia mkoa wa pwani alisema.

Naye muwakilishi kutoka katika shirika lilo Rufalo chotara amesema mbali na msaada huo wataendelea kutoa msaada wa mbinu mbalimbali ni kuhakikisha ugonjwa unadhibitiwa.

written by Dauka Somba

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s