JAY MOE AMUANIKA MWALIMU ALIYE MFUNDISHA KURAP

Rapa Jay Moe kupitia story kadhaa ambazo tumekuwa tukipiga naye, amempatia credits swahiba wake Solo Thang kama moja ya watu wenye mchango mkubwa kumsaidia kipindi cha nyuma kwa upande wa kusuka mashairi kwa Kiswahili.

ad_1

Jay Moe

Jay Moe ameeleza kuwa, katika kipindi ambacho walikuwa wamekutana na kuunda timu ya Wateule, michano waliyokuwa wanafanya, zaidi ilikuwa ni kwa lugha ya kiingereza, Credits kwa Solo Thang kwa kuwa na mchango wa kumbadilisha brother katika safari yake kufikia sasa ambapo ni rapa mkubwa anayekipaisha Kiswahili ndani na nje kupitia sanaa yake.

eq_0

Chanzo: eatv.tv

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s